Connect with us

Entertainment

Timu ya Taifa ya Riadha inayodhaminiwa na DStv yaagwa kuelekea Denmark, Waziri Mwakyembe awashushia baraka (+video)

Timu ya Taifa ya riadha ambayo inadhaminiwa na DStv jana imeagwa jana Machi 27, 2019 kuelekea nchini Denmark kwenye michuano ya kimataifa ya mbio za nyika.

Akiikabidhi bendera timu hiyo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe amewaasa wanariadha hao 20 wakapambane kwani Taifa lipo pamoja nao katika maombi.

The post Timu ya Taifa ya Riadha inayodhaminiwa na DStv yaagwa kuelekea Denmark, Waziri Mwakyembe awashushia baraka (+video) appeared first on Bongo5.com.

Published

on

Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *