Connect with us

Entertainment

Breaking: Manchester United wametangaza rasmi kuwa, Ole Gunnar Solskjaer ndio kocha wa kudumu wa timu hiyo

Manchester United imetangza rasmi kumpa kandarasi ya moja kwa moja kocha wake Ole Gunnar Solskjaer baada ya kuhudumu nafasi hiyo kama mwalimu wa muda akirithi nafasi ya Jose Mourinho.

Kupitia akaunti zao za mitandao ya kijamii United wamethibitisha hilo.Kocha huyo mwenye umri wa mika 46, raia wa Norway mpaka sasa ameweka rekodi bora kabisa ya kushinda jumla ya michezo 14 kati ya 19 aliyosimamia klabu hiyo tangu kuchukua nafasi ya Jose Mourinho mwezi Desemba.

Ole’s at the wheel! We can confirm that Ole Gunnar Solskjaer has been appointed as #MUFC manager.
— Manchester United (@ManUtd) March 28, 2019

By Ally Juma.

The post Breaking: Manchester United wametangaza rasmi kuwa, Ole Gunnar Solskjaer ndio kocha wa kudumu wa timu hiyo appeared first on Bongo5.com.

Published

on

Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *