Connect with us

Entertainment

Video: NASSARI kulipa FIDIA Bunge baada ya kushindwa Mahakamani? | “Spika ametekeleza maagizo…”

Kufuatia shauri la madai namba 22/ 2019, lililofunguliwa na Mbuge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari, kupinga kuvuliwa Ubunge kwa kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge mfululizo, Mwanasheria Leonard Manyama ameeleza jinsi atakavyotakiwa kulipa fidia Bunge endapo atashindwa kesi hiyo.

Published

on

Continue Reading
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *